Familia ya Akwilina yatoa ratiba za mazishi
Msemaji wa Familia ya Akwilina, Festo Stephen amesema mwili wa binti yao unatarajiwa kuagwa siku ya Alhamisi katika Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) endapo watapewa ruhusa hiyo na chuo, kama itashindikana watamuaga katika Kanisa la Mbezi Luis

