Serikali kulipa bonasi wananchi wake Serikali ya Singapore imetangaza kuwalipa watu wazima nchini humo bonasi ya kati ya Dola 100 hadi 300 kutegemea na kipato chao baada ya bajeti ya nchi hiyo kuwa na ziada ya fedha kiasi cha Dola bilioni 7.6. Read more about Serikali kulipa bonasi wananchi wake