Ni Biashara, Alliance ama Dodoma FC leo ?
Mechi za mwisho za kundi C ligi daraja la kwanza zinachezwa leo huku kukiwa na vita kubwa ya kuwania nafasi mbili za kupanda ligi kuu ambapo timu tatu zina nafasi ya kupanda kutokana na msimamo wa kundi hilo.