Wizara ya Ujenzi yapiga marufuku
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano ametoa onyo kwa wakazi wa Mkoa wa Tabora wanaoendeleza ujenzi na kilimo kwenye hifadhi ya barabara ilihali serikali imetumia fedha nyingi kulipa fidia ili kupisha ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami.

