Azam FC haitaki kufanya makosa Kocha wa Azam FC Aristica Cioaba, amesema hataki timu yake ifanye makosa kwenye mchezo wa raundi ya 16 bora ya kombe la shirikisho nchini dhidi ya timu iliyopanda ligi kuu ya KMC. Read more about Azam FC haitaki kufanya makosa