Watu 18 wafariki Dodoma Watu 18 wamepoteza maisha kutokana na ugonjwa wa kipindupindu mkoani Dodoma ndani ya miezi minne huku zaidi ya watu 470 wakiugua ndani ya muda huo. Read more about Watu 18 wafariki Dodoma