Yanga kuwasilisha barua TFF Klabu ya soka ya Yanga kupitia kwa msemaji wake Dismas Ten, imesema imedhamiria kuiandikia barua Bodi ya ligi kuomba kusogezwa mbele kwa mchezo wake wa ligi dhidi ya Mtibwa Sugar. Read more about Yanga kuwasilisha barua TFF