Kocha aamua kuwalipa mishahara makocha wenzake
Kocha wa timu ya taifa ya Australia Bert van Marwijk, ameamua kuwalipa mishahara makocha wenzake kwenye benchi la ufundi la timu hiyo, ambayo imefuzu kucheza fainali za Kombe la Dunia 2018 nchini Urusi.