“Mamlaka za Bunge zinaporwa maksudi”-Kubenea
Mbunge wa Ubungo Said Kubenea amelalamikia suala la Naibu spika Dkt. Tulia Akson kukataa swali la mbunge wa Vunjo James Mbatia lisijibiwe na waziri mkuu akieleza kuwa Naibu spika amekiuka taratibu za Bunge kwa kupitisha maamuzi ambayo sio sahihi.