Mwanamke aliyejifungua kituoni Serikali yajibu
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni amesema hatua za kisheria zitachukuliwa dhidi ya askari polisi waliosababisha mwanamama Amina Rafael kujifungua nje ya kituo cha Polisi cha Mang’ula huko mkoani Morogoro.