Serikali yakana Waraka uliotumwa KKKT,

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Lameck Nchemba amesema Waraka wa barua unaodaiwa kuandikwa na serikali dhidi ya Makanisa unaosambaa mitandaoni si wa kweli na kwamba huo ni uhalifu uliofanywa na watu wasioitakia nchi mema.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS