Ukweli kuhusu Mo Salah kuivaa Uruguay leo Kocha mkuu wa Misri Hector Cuper amesema mshambuliaji wa timu hiyo Mohamed Salah yupo kamili kwa asilimia takribani 100 kucheza mechi yao ya kwanza kweney fainali za Kombe la Dunia dhidi ya Uruguay leo. Read more about Ukweli kuhusu Mo Salah kuivaa Uruguay leo