Wanawake waonywa kufanya mapenzi na raia wa kigeni
Mbunge mmoja nchini Urusi anasema kuwa wanawake hawatakiwi kufanya mapenzi na wageni wakati wa kombe la dunia huku ambapo ameeleza kuwa watoto wanaozaliwa huwa na rangi tofauti kitu ambacho kinapingwa vikali ncini humo.