Mwenyekiti Yanga aweka wazi mipango ya usajili

Siku chache baada ya kuundwa kwa kamati ya mpito ya kuivusha Yanga katika kipindi kigumu walicho nacho, Mwenyekiti wa kamati hiyo Abasi Tarimba amefunguka kuhusu masuala ya usajili ndani ya klabu hiyo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS