Wanawake tuna roho mbaya - Linah Sanga Msanii wa bongo flava Linah Sanga, amesema wanamuziki wa kike wana wivu sana ndio maana hawapeani ushirikiano wa kutosha katika kazi kitu kinachopelekea wao kutoendelea. Read more about Wanawake tuna roho mbaya - Linah Sanga