NECTA yazuia matokeo ya kidato cha 6 Katibu Mtendaji (NECTA), Dkt. Charles Msonde. Baraza la Mtihani la Tanzania (NECTA) limezuia matokeo ya watahiniwa kumi na tatu kutokana na sababu kadhaa na wengine nane kufutiwa kabisa matokeo kwa sababu ya udanganyifu. Read more about NECTA yazuia matokeo ya kidato cha 6