Robo fainali Bball Kings kutikisa uwanja wa taifa
Mashindano ya mpira wa Kikapu nchini ya Sprite Bball Kings yanayoandaliwa na East Africa Television LTD kwa udhamini wa kinywaji cha Sprite, yapo katika hatua ya robo fainali na sasa rasmi mechi 4 za hatua hiyo zitapigwa kwenye uwanja wa ndani wa taifa.