East Africa Redio yapongezwa, mikopo ya wanafunzi
Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi nchini (TSNP), Abdul Nondo amekipongeza kituo cha habari cha East Africa Radio kuwa mstari wa mbele katika kufuatilia suala la changamoto ya usajili wa kuomba mkopo iliyokuwa inawakumba wanafunzi wanaotarajia kujiunga na elimu ya juu mwaka 2018.