Serikali yawapatia ajira maelfu ya walimu
Waziri wa Nchi Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa Selemani Jaffo leo Julai 17, 2018, jijini Dar es salaam ametangaza kuwapatia ajira walimu waliotuma maombi ya ajira serikalini na kuwataka kufika katika vituo vyao vya kazi kwa tarehe iliyopangwa na serikali.