Mahakama kuamua matumaini ya CUF Mbunge wa Temeke, Abdallah Mtolea Mbunge wa Temeke, Abdallah Mtolea ameweka wazi kwamba anaamini chama chao kitasimama tena upya licha ya changamoto na migogoro inayoendelea ambayo kwa kiasi kikubwa imeleta mpasuko mkubwa ndani ya chama. Read more about Mahakama kuamua matumaini ya CUF