Fahamu shule ya Kata iliyoongoza kitaifa
Kumekuwa na imani tofauti juu ya suala zima la elimu bora, wapo wanaoamini katika fedha kuwa ndio chanzo cha ufaulu kwa wanafunzi, kuna wanaoamini bidii na utayari wa mwanafunzi na wengine wanaamini katika uhodari wa walimu na wanafunzi.