Vigogo wawili kujumuishwa kesi ya Kaburu na Aveva
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeagiza upande wa mashitaka kubadilisha hati katika kesi ya utakatishaji fedha inayowakabili, Rais wa klabu ya Simba, Evans Aveva na makamu wake Godfrey Nyange Kaburu.