Mo Dewji aipa jeuri Simba, yaipiga bao Yanga

Kulia ni mwekezaji wa Simba Mohammed Dewji

Baada ya klabu ya Simba kumpitisha mfanyabiashara Mohammed Dewji kama mwekezaji kupitia mfumo wa hisa akimiliki asilimia 49 ya hisa, ameanza kutekeleza ahadi yake ya kujenga uwanja wa klabu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS