''Mkamateni huyu ni tapeli na jizi'' - Mbarawa
Waziri wa Maji na Umwagiliaji Profesa Makame Mbarawa, amesema serikali haitasita kuwachukulia hatua wale wote watakaohusika kukwamisha miradi ya maendeleo kwa wananchi na kuwafikisha katika vyombo vya dola, akianza na mkandarasi aliyekwamisha mradi wa Ntomoko.