CHADEMA yathibitisha mwenyekiti wake kujiuzulu
Baada ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa CHADEMA (BAVICHA) Mkoa wa Mara na Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Serengeti Juma Porini kujiuzulu jana na kujivua nyadhifa zote ndani ya chama na kutangaza kuwa atajiunga na CCM, CHADEMA imesema kuwa imesikia taarifa hizo kupitia