Mbunge wa Kigoma mjini ACT-Wazalendo Zitto Kabwe (kulia) akiwa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola.
Mbunge wa Kigoma mjini ACT-Wazalendo Zitto Kabwe amefunguka kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola aliyehutubia akiwa wilayani Uvinza mkoani Kigoma ndiye Kangi halisi na si mwingine.