Nikitumwa kazi na Rais siwezi kataa-Katibu CHADEMA
Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dkt Vincent Mashinji amesema kuwa hawezi kukubali kuwa mtumishi wa serikali kwa ajili ya kukwepa mgongano wa kimslahi lakini kama atapewa jukumu na Amiri Jeshi Mkuu Dkt John Pombe Magufuli lenye manufaa kwa nchi hawezi kukataa.