Chipukizi aungana na Nadal, Djokovic, na Federer
Mcheza tenisi namba 5 duniani, Alexander Zverev (21), raia wa Ujerumani, ameungana na nguli wa mchezo huo duniani, Rafael Nadal, Novak Djokovic, Roger Federer na Juan Martin del Potro, kama wachezaji ambao wamefuzu michuano ya tenisi ya kufunga msimu maarufu kama 'ATP Finals'