Uwoya afunguka kuhusu kuolewa na 'tajiri Salaah' Mwanadada, Irene Uwoya. Msanii wa kike wa filamu bongo, Irene Uwoya, hivi karibuni imekuwa ikisemekana amechachana na mume wake, msanii Dogo Janja na kuolewa na mwanaume mwengine kimya kimya. Read more about Uwoya afunguka kuhusu kuolewa na 'tajiri Salaah'