Sherehe ya kidini ya kutakasa wanyama kwa moto Waendesha farasi wakivuka katika moto mkali Tarehe 16, Januari ya kila mwaka ni sikukuu ya kidini ya kutakasa wanyama kwa kuwapitisha juu ya moto mkali, inayofanyika na mamia ya wakazi wa miji mbalimbali nchini Hispania. Read more about Sherehe ya kidini ya kutakasa wanyama kwa moto