Messi na Ronaldo wakubaliana na Samatta
Baada ya misimu mingi kupita na majina katika orodha ya vinara wa mabao Ulaya mpaka wakati wa Krismasi na Mwaka mpya wakiwa ni Cristiano Ronaldo na Lionel Messi lakini mwaka huu Mbwana Samatta amechomoza katika orodha hiyo.

