Magari, fedha kikwazo kwenye muziki wa Mimi Mars
Msanii wa Bongofleva Mimi Mars amesema nyimbo zake nyingi zilizotoka kwenye EP yake zinaongelea mapenzi kwani ndio eneo ambalo halimpi changamoto kwenye kuandika tofauti na mada nyingine kama kuimba kuhusu pesa na magari.

