Yanga kuikataa rekodi ya Mbeya City Mbeya City na Yanga Kikosi cha Yanga tayari kimeshatua jijini Mbeya kwaajili ya mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Mbeya City utakaopigwa wikiendi hii katika uwanja wa Sokoine. Read more about Yanga kuikataa rekodi ya Mbeya City