Rais aelezea polisi walivyokamatwa kisa bil 1
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli amempongeza Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, Simon Sirro kufuatia askari wake kuhusika na tuhuma za kudai rushwa pindi walipowakamata waharifu wa madini.

