Mtibwa waongelea mapokezi muda mchache Mtibwa Sugar Wawakilishi wa Tanzania kwenye michuano ya kombe la shirikisho Afrika Mtibwa Sugar, wamesema wanelekea kwenye mchezo wao dhidi ya KCCA ya Uganda wakiwa hawana cha kulaumu kwani wamepokelewa vizuri sana. Read more about Mtibwa waongelea mapokezi muda mchache