Fahamu bingwa wa ligi ya Ubelgiji anavyopatikana
Unaweza usielewe ukisikia kuwa timu inayoongoza ligi mpaka mwisho wa msimu inakosa nafasi ya kuwa bingwa wa ligi hiyo, lakini hilo linawezekana kabisa na ndiyo mazingira halisi ya Ligi Kuu ya nchini Ubelgiji.

