Wakuu wa Mikoa nchini waitwa Dar es salaam Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Seleman Jafo. Wakuu wa mikoa wote nchini Tanzania wameitwa jijini Dar es salaam kupeana mbinu mbalimbali kuhusu ugawaji vitambulisho vya wafanyabiashara wadogo. Read more about Wakuu wa Mikoa nchini waitwa Dar es salaam