Ulimwengu asajiliwa na wapinzani wa Simba Thomas Ulimwengu akiwa na mabosi wa JS Saoura. Mshambuliaji wa Tanzania Thomas Ulimwengu amesaini mkataba wa miaka miwili kuichezea klabu ya JS Saoura ya Algeria. Read more about Ulimwengu asajiliwa na wapinzani wa Simba