"Kazi yangu kutoa kadi ya njano na nyekundu"- JPM
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli amesema kuwa kasi ya ukuaji wa sekta ya madini imeongezeka kutoka asilimia 4 mwaka 2015 mpaka asilimia 4.8 mwaka 2018 baada ya marekebisho ya baadhi ya sheria na usimamizi bora katika sekta hiyo.

