Waitara atishwa na tiketi za mabasi ya mwendokasi
Naibu Waziri wa TAMISEMI, Mwita Waitara ameitaka Wakala wa Mradi wa Mabasi yaendayo haraka (DART) kuangalia namna ya kuboresha utendaji, ili kuhakikisha mradi huo unaweza kutumika kwenye utekelezaji wa miradi mingine ya serikali.