Usain Bolt atangaza kustaafu soka Usain Bolt akiwa kwenye moja ya mechi. Usain Bolt amethibitisha kuwa amestaafu kucheza soka baada ya kushindwa kupata mkataba katika klabu ya Central Coast Mariners ya Australia aliyokuwa akifanya majaribio. Read more about Usain Bolt atangaza kustaafu soka