Beno Kakolanya aagizwa kwa Mwinyi Zahera Beno Kakolanya Mlinda mlango wa Yanga Beno Kakolanywa, ambaye amewekwa kando na kocha wa kikosi hicho Mwinyi Zahera, ametakiwa kwenda kumuomba msamaha kocha huyo ili aweze kumsamehe na kumpa nafasi tena. Read more about Beno Kakolanya aagizwa kwa Mwinyi Zahera