Zahera arejea Dar, asema ataiacha timu
Kocha mkuu wa klabu ya Yanga Mwinyi Zahera amerejea nchini usiku wa kuamkia leo Desemba 27,2018, ambapo mara tu baada ya kufika amesema programu zote za maandalizi ya mechi dhidi ya Mbeya City anaziacha kwa kocha msaidizi Noel Mwandila.