Presha ya Iokote haina nafasi kwa Maua Sama Maua Sama Baada ya kufanya vizuri kwa mwaka 2018 kupitia ngoma yake ya Iokote aliyomshirikisha msanii mpya Hanstone, Maua Sama amesema ukubwa wa wimbo huo haumsumbui juu ya ngoma inayokuja. Read more about Presha ya Iokote haina nafasi kwa Maua Sama