Kocha Simba alia na baridi, atumia video mazoezini

Kocha, Patrick Aussems na wachezaji wakiwa mazoezini

Kocha Mkuu wa klabu ya Simba, Patrick Aussems ameelezea kuhusiana na programu ya mazoezi ya siku ya kwanza baada ya kuwasili nchini Misri kwaajili ya mchezo wa Klabu Bingwa Afrika dhidi ya Al Ahly.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS