“CHADEMA watubu” - Mchungaji Kakobe
Askofu wa kanisa la Full Gospel Bible Fellowship nchini Tanzania, Zachary Kakobe, amewataka viongozi wa CHADEMA waliotoa maneno machafu kwa viongozi wa dini kutubu haraka iwezekanavyo, la sivyo chama chao kitatumbukia shimoni.

