Sheria ya vyama vya siasa, Upinzani waja kivingine Vyama 10 vya Upinzani nchini wameipongeza Kamati ya Bunge kwa kuweza kubadili baadhi ya vifungu ambavyo walivizungumzia hapo awali katika mapendekezo ya muswada wa sheria ya vyama vya siasa nchini. Read more about Sheria ya vyama vya siasa, Upinzani waja kivingine