Hakimu wa kesi ya Mbowe, Matiko ateuliwa kuwa Jaji Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli amemteua aliyekuwa Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Dar es salaam Wilbard Mashauri kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania. Read more about Hakimu wa kesi ya Mbowe, Matiko ateuliwa kuwa Jaji