Wosia wa mama Abdul, agoma msiba kuagwa

Mama Abdul enzi za uhai wake.

Muigizaji mkongwe nchini Salome Nonge (Mama Abdul) ameacha wosia kwa ndugu zake, ambao walikuwa wakimuuguza mpaka mauti yalipompata nyumbani kwake Mburahati jijini Dar es salaam.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS