Museveni kung'olewa madarakani

Rais wa Uganda, Yoweri Museveni.

Mwanamuziki Bobi Wine ambaye pia ni mbunge nchini Uganda amesema atawania urais nchini humo katika uchaguzi mkuu ujao akidhamiria kumwondosha madarakani, Rais Yoweri Museveni.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS